Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA TEMBONI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
Nyumba inapangishwa
Ina vyumba vitatu kimoja master, public toilet, sebule, jiko, dining,
Stand alone
Location: temboni
Umbali: dk 10
Kodi: laki 5 (500,000/=)
Miezi: kuanzia sita (6)
Service charge: 15,000/=
Malipo ya dalali: laki tano (500,000/=)
Simu:
0677445508
Karibuni sana