Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Maelezo
📢 NYUMBA YA KUPANGISHA – KINYEREZI MONGOLANDEGE 🏡
Nyumba nzuri ya kisasa standalone inapangishwa kwenye eneo tulivu na salama.
✨ Sifa za nyumba:
• Vyumba 3 (kimoja ni master)
• Sebule kubwa na ya kisasa
• Jiko lenye makabati ya juu na chini
• Water heater
• Full AC nyumba nzima
• Electric fence kwa usalama
• Maji ya uhakika (DAWASA) + kisima cha ziada
📍 Location: Kinyerezi Mongolandege, mtaa mzuri na unaofikika kirahisi
💰 Kodi: 750,000/= kwa mwezi
📆 Malipo: Miezi 6
🔐 Security deposit: 750,000/=
🧾 Service charge: 20,000/=
📞 Wasiliana: +255 688 412 890
👉 Karibu sana ndugu mteja, nyumba ni bora kwa familia. Simple and clean.



















