Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA โ KINYEREZI MBUYUNI
(Peke yake ndani ya fence โ faragha 100%)
- Vyumba 3 (1 master self-contained)
- Sebule + dining kubwa
- Jiko la kisasa + kabati
- Store, maji 24/7 + tank
- Parking, paving, electric fence
Kodi: Tsh 800K ร 6 tu!
Udalali = mwezi 1
Inakwenda leo haraka!
Piga: 0688 412 890 (serious tenants tu)
Karibu na barabara kuu โ Kinyerezi Mbuyuni! ๐ช๐ฅ


















