Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Shule. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (viwili master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Water reserve tank
- Electric fence
- CCTV
- Maji 24/7
- Kisima
- Jiko la njee
- Choo cha njee
- Panafikika bila shida
- Mtaa tulivu
Kodi 1,000,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.