Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Manzese, Dar Es Salaam


NYUMBA 2 PAMOJA, INAUZA BANK,TSHS.45 MILIONI, MANZESE UZURI/TANDALE.
Kiwanja SQM.350.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Ni mita 100 tu kutoka Barabara ya Sinza/Tandale.
Nyumba moja ina jumla ya vyumba vya kulala 6.
Nyumba ya Pili ina vyumba 3.
Kote kun Wapangaji.
WAHI UTEGE HELA YA KODI KIULAUNI.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+25/ 714 591 548
___________jj