Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


*🌹NYUMBA MPYA NYUMBA MPYAAA
🌹INA VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTERBEDROOM SEBULE NA JIKO NA STORE
🌹FENSI INAEKWA NA PARKING AVAILABLE KIBOSS....
🌹 *BEI 700K TU* UKIPE KWA MIEZ6
🌹KWENYE COMPOUND MNAKUA WAWILI TU KIBOSS....
🌹LOCATION KIMARA BARUTI DAKIKA 7 TOKA STAND MAIN ROAD MOROGORO ROAD ...UNAWEZA PITIA NJIA YA LAMI YA CHUO UDSM ITOKEAYO MSEWE PIA CHAP ,BARABARA NI MKEKA HADI SITE
..
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347