Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







STAND ALONE HOUSE FOR RENT ###600K .IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE ( KWA DARWESH ).UMBALI WA KM 1.8 KUTOKA MOROGORO ROAD.
SIFA ZAKE -
Inajitegemea yenyewe kwenye fensi umeme na Maji Dawasa yapo 24hrs ,Full Peving block & Spce
- Vyumba 3 vya kulala Viwili Master bedroom
- Sebule
- Daining ,,,,
- Jiko
- Public toilet
- Tails ##gypsum
- Rezev Simtank
- Air condition.
- IPO NDANI YA FENSI INAYOJITEGEMEA FULL ELECTRIC SECURITY GUARD.
KODI NI LAKI 600,000 /=
KWA MWEZI.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















