Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 230,000/=X5
=====
NYUMBA YA KUPANGA STENDI ALONE
IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KM 2
HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
=======
IPO NDANI YA FENSI BADO KUWEKA GETI TU
SIFA YA NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE SEHEMU YA KUPIKIA
CHOO CHA PABLIC
KIPO
==
MAJI DAWASKO UMEME
UPO
====
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
===
CONT
0683234124
0718367179