Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI

#BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

#BEI NI 500,000/= X 6

πŸ’«πŸ’« NYUMBA HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI

#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU

#USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796☎
#0692937400

Dalali_Ambwene_Tabata_Ubungo
dalali_ambwene_tabata_ubungo
Dalali_Ambwene_Tabata_Ubungo

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

(150,000X3)MBEZI KWA MSUGULI 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–βž–CHUMBA MASTERSEBLE KUBWA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MPYA MPYA MPYA KABISAAPARTMENT MBEZI LUGURUNI ZINAPANGISHWALOCATION: MBEZI LUGURUNI KM1 TOKA MAIN RO...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWAIPO MBEZI MAGUFULI STENDIUMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

:NYUMBA KUBWA YA KISASA INAUZWAPAMOJA NA SERVANT COTER YAKE YA CHUMBA MASTER NA SEBULE BEI NI MILION...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

LOCATIONMBEZI MWISHOMPIJI MAGOHE ROAD.KM 3 TOKA MOROGORO ROAD.BEI > MIL 90 MAONGEZI YAPO. SIFA ZAKE....

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000 Γ— 3) π— π—•π—˜π—­π—œ 𝗠π—ͺπ—œπ—¦π—›π—’ π—₯𝗒𝗨𝗑𝗗 𝗔𝗕𝗒𝗨𝗧 𝗬𝗔 π—šπ—’π—•π—”APARTMENT NZURI SANAAA NA B...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWAIPO MBEZI MAGUFULI STENDIUMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI______________________#C...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 420,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH MASANA______________________#CHUMBA_SEB...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #STAND_ALONE#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPAND...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 10,000,000

LOCATION: MBEZI MARAMBA MAWILI UMBALI KM.2.5 KUTOKA HII BRBR YA LAMI INAYOTOKA MBEZI KUELEKEA KINYER...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWAIPO MBEZI MAGUFULI STENDIUMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APATIMENTI KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWAIPO MBEZI MAGUFULI STENDIUMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI ...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

πŸ‡ΉπŸ‡ΏNYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA PAMOJA NA SERVANT COTER YAKE YA CHUMBA MASTER NA SEBUL...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA VYUMBA VIWILI VYA KULALAVYOTE NI MASTER BEDROOMS SEBU...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

official APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 2 KATIKA COMPAUND MOJA ZIPO APARTME...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER KUBWA SANAA INAPANGISHWA MBEZI MSUGURI 120,000x4,5,6NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO NDANI UMEME MUN...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER KUBWA SANAA INAPANGISHWA MBEZI MSUGURI 120,000x4,5,6NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO NDANI UMEME MUN...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

MASTER KUBWA SANAA INAPANGISHWA MBEZI MSUGURI 120,000x4,5,6NI CHUMBA KIMOJA NA CHOO NDANI UMEME MUN...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KWA MSUGURI KM2 KUTOKA LAM...