Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI (STAND ALONE HOUSE FOR RENT)
INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 
💥 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA, 1  NI MASTER BEDROOM 
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA 
#PARKING 
BEI NI 300,000/= X 6
‼️NOTE APO MIEZI 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
UMBALI 2.5KM 
PIKIPIKI 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















