Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
DINING KUBWA
JIKO NA STORE
PUBLIC TOILET
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
PIA INA FULL AC
NA ENEO KUBWA SANA KWAAJILI YA KUFUGA
IPO MBEZI MWISHO BARABARA YA MPIJI MAGOHE
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
BAJAJI 700
KODI 400,000X6
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















