Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT MZURI SANAA INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI KM/ 2,5 KUFIKA
PIA UNAWEZA KUPITIA SUCA BODA BUKU UKISHUKA UNATEMBEA DK 3
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA VITATU VYAKULALA VYOTE MASTAR INASEBULE KUBWA SANAA INAJIKO KUBWA
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI WAPANGAJI WATATU
FULL PEVING BLOCK
KODI 450 X 4
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747