Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI TSH 600000 X5
APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO
KUTOKA BARABARANI MITA 700 HADI KWENYE NYUMBA
BODA BODA 1000
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 10
KWENYE FENSI ZIPO
NYUMBA MBILI 2
SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO CHA PABILIKI
KODI 600000 K X5
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
MAJI YA KUSHEA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
BARABARA NZURI INAFIKIKA MUDA WOTE
What saapp number 0689-547258



















