Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


VYUMBA VITATU VYA KULALA
INAPANGISHWA STAND_ALONE
IKO-DAR-ES-SALAM TZ
MAHALI-MBEZI BEACH
UPANDE WA CHINI KARIBU NA RAINBOW
KODI TSHS MIL 1,000,000/EKWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA NZURI YA KISASA
• KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE:-
•Vyumba vitatu vya kulala [Masta] Sebule kubwa, Dinning,
•Jiko zuri lenye makabati, Choo/Bafu vya ndani public,
•Electric fence, Security 24hrs
•Gypsum Tiles Slides windows
•Umeme upo wa luku yake
•Maji yapo ya bomba 24hrs
•Cars parking space ipo kubwa
ONje pavingblocks
•Garden
•FencedHouse
*Kwenda kuona 30k
•Hii itatumika hadi utakapopata nyumba ya ndoto yak0715384892