Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#BEI NI 350,000/= X 6
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA 
#BEI NI 350,000/= X 6 
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24 
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= X 6 
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI CAUTION MONEY KODI YA MWEZI MMOJA 
🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI 
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 
#USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA




















