Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA
IPO - DAR ES SALAAM
ENEO-MBEZI BEACH
muundo wa nyumba ni villa zipo 👉2
BEI -ml. 1,500,000/= kwa mwezi
Malipo ya dalali yanalipwa na mteja kama ifuatavyo
Service change 30k
Commission 1.5 mil
NYUMBA
YENYE
______
Vyumba vitatu kimoja self
Sebule
Jiko
Dinning
Choo
Stoo
Madrisha ya kioo
Umeme
Maji
☎️📞WHATSAPP +255 658 582977 CALL +255 784919453
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇