Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT 4 ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO KM1 KUTOKA LAMI YA JUU NDIYO IPO WAZI.
--------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Heater ya maji moto maji baridi
Gypsum
Full air condition
Tiles
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 700,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
-----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach๐น๐ฟ