Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APPARTMENT NZURI KALI NA MPYA ZINAPANGISHWA
MBEZI KWA MSUGURI BARABARA YA ZEGE DK 10 KWA MGUU
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
-JIKO KUBWA
-PUBLIC TOILET
-UMEME WAKE
-MAJI YAKE
-NJIA INA WEKWA ZEGE MPK GETINI
ZIPO NYUMBA TATU KWENYE FENSI WAHI
KODI NI 500,000 ILIPWE MIEZI 5,6
NYUMBA KUDEKI NA KUINGIAAA.
KUONA NYUMB ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
0713320608
0686334182