Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Miganga, Singida


INAPANGISHWA PEKE YAKE NDANI YA FENSI
⚜️ MAHARI ▶️ MIGANGA DODOMA
⚜️ MUUNDO
▶️ VYUMBA ( 3 )
▶️ VYOTE VIWILI MASTER
▶️ SEBULE KUBWA NZURI
▶️ DINNING
▶️ JIKO ZURI KUBWA
▶️ STOO
📍HUDUMA
▶️ UMEME INAJITEGEMEA
▶️ MAJI MUDA WOTE
▶️ RESERVE TANK YAKE
▶️ PARKING YAKUTOSHA SANA
⚜️ KM 3 KUTOKA LAMI
⚜️ KM 8 KUTOKA CITY CENTER
💰KODI 450,000/= @ MWEZI MMOJA
📍NAMNA YA MALIPO
▶️ MALIPO NI MIEZI ( 4 )
▶️ PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI ANALIPA MTEJA ( MPANGAJI) NI NNJE YA KODI.
📌KWENDA KUANGALIA NYUMBA 10,000/=
☎️ 0787-037986 ➡️ WhatsApp
⏩ Karibuni Sana wateja