Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Nyasaka, Mwanza


NYASAKA MWANZA
NYUMBA MPYAA INAPANGISHWA
VYUMBA VITATU VYA KULALA VYOTE SELF
SEBURE
DINNING
JIKO
SERVANT QUARTER
CHUMBA KIMOJA
BEI MIL 8 KWA MWAKA
0787512343
NB
NYUMBA IPO HATUA ZA MWISHO KWENYE FINISHING ((FAMILIA 1 NDANI YA FENSI))
KUNA NYUMBA NYINGINE NZURI SANAA ITAKUWA WAZI TRH 01/08/2024 IPO PEKE YAKE NDANI YA FENSI VYUMBA VITATU KONA YA BWIRU PEMBENI YA RAMI BEI MIL 8 KWA MWAKA