Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


FOR RENT 🏷️
✅Mahali: SINZA
✅Bei: 1,100,000/= Kwa Mwezi
✅Malipo: Miezi 6
FEATURES:🏷️
✅Vyumba 3, Kimoja Master
✅Sebule Kubwa Sana
✅ Dinning Room
✅Jiko Kubwa Zuri
✅Public Toilet Nzuri 🚻
✅Fenced
✅Parking Space Kubwa 🚘
✅Umeme METER Yako
✅Reserve Tank
✅Dawasa Maji 24/7
📌NOTE ⬇️
▫️Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/=
▫️Agent commission 1,100,000/=
📌CONTACT : ⬇️
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp