Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Kwa Bibi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Master ina kabati la nguo
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Boycotta njee
- Parking
- Mtaa tulivu
- Fence
Kodi 400,000/= MIEZI SITA.
UKILIPA ANAFANYA UKARABATI IKIWEMO RANGI NA KUREKEBISHA MAKABATI.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.