Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Chama. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Parking
- Water reserve tank
- Fence
- Dakika 10 kutoka kituoni
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.