Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


AMAIZING HOUSE FOR SALE TABATA SEGEREA.
BEI.MILLION 250
BEI.MILLION 240 LAST AMOUNT.
0759128747 } { 0624436503
0712058357 } { whatsapp
Documents TITLEDEED YA WIZARA YA ARIDHI NYUMBA NA MAKAZI
Location TABATA segerea/OILCOM PETROSTATION
UMBALI.DAKIKA 1 kutoka kituoni kwenye lami
Ina mafremu 8 za maduka ya biashara
Ambapo kila mwezi kwa fremu 1 ni tsh 150,000/= kwa hesabu za haraka kwa mwezi kwa jumla ya fremu zote ni tsh 1200,000/= kwa mwaka ukizidisha kwa fremu zote ni tsh 14,400,000/=
(Million 14 na laki 4)
Kodi ya pango la nyumba ni tsh 700,000/= kwa kila mwezi ambapo kwa mwaka ni tsh 8400,000/=
Kwa mjumuiko wa pesa zote kwa mwaka mnunuzi atakayenunua sehemu husika atakuwa anakusanya tsh 22,800,000/= million 28 na laki nane(8)
Sifa.
Nyumba ina fance/parking space ya kutosha/maji ya dawasa/
Ukubwa wa nyumba ya ndani ni 3bedroom's kimoja ni Master Bedroom/sitting room na dining room bila kusahau jiko/store/inside Public toilet na kitchen kubwa.
Kuna mgawanyo wa mfumo wa umeme.
Ambapo kwa nyumba inajitegemea na mafremu ya maduka pia yanajitegenea
Mawasiliano.
Follow Instagram.
Location/office: