Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







NYUMBA MPYA YA KUPANGA – TABATA SEGEREA KWA BIBI!
(Peke yake ndani ya fence – faragha kamili!)
🏡 Vipengee:
- Vyumba 3 (1 master)
- Sebule + Dining
- Jiko la kisasa
- Water heater & A/C (anaweka)
- Choo cha umma
- Maji 24/7
- 🚉 Dakika 1 tu kutoka kituoni!
💰 Kodi: TZS 800,000/= (miezi 6)
💸 Udalali: Sawa na mwezi 1
🛠 Service Charge: 20,000/=
📞 Piga sasa: 0688 412 890
📍 Ofisi: Tabata Segerea Mwisho Stendi
Fursa ya pekee – usikose!



















