Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


🏠 NYUMBA SAFI INAPANGISHWA – TABATA SEGEREA
✅ Vyumba 3 (1 master ensuit)
✅ Sebule kubwa + dining
✅ Jiko zuri la kisasa
✅ Eneo tulivu, salama na lina huduma zote
💰 Kodi: Tsh 500,000/= kwa mwezi (FIXED – haibadiliki)
IPO HATUA ZA MWISHO. KUINGIA TAREHE 1 DECEMBER.
📞 Piga simu sasa: 0688 412 890
Mpangaji wa kwanza makini anachukua! 🏃♂️🔥
#NyumbaYaKupanga #TabataSegerea #Kodi500KFixed



















