Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


ISHALIPIWA ✅️
Nyumba mpya inapangishwa Tabata Bima. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE.)
- Vyumba vitatu (vyote master)
- Kote anafunga A/C
- Sebule
- Dinning
- Open kitchen (anafunga makabati)
- Water reserve tank
- Paving
- Parking
- Electric fence
- Dakika 1 kutoka kituoni
Kodi 1.2 Mil.
Muhitaji piga 0688 412 890.