Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tegeta Wazo Msigani, Dar Es Salaam



Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
3
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo Msigani
Ina Vyumba 3 vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 350000
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744
0784234971



















