Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🏠 NYUMBA INAPANGISHWA 🏠
📍 MAHALI: UBUNGO MSEWE (KARIBU NA SHELI MPYA BARUTI)
🏡 AINA: STAND ALONE HOUSE
✨ VYUMBA VYA NDANI:
	•	VYUMBA 3 (KIMOJA NI MASTER)
	•	SEBULE KUBWA
	•	JIKO LENYE CABINET
	•	CHOO CHA NDANI (PUBLIC TOILET)
	•	BALCONY
✨ HUDUMA ZA ZIADA:
	•	FULL AC ❄️
	•	HEATER 🔥
	•	FENI ZA JUU (BURE)
	•	PARKING IPO 🚗
	•	PAVING BLOCK NJE
	•	ULINZI WA KUDUMU 🔐
💵 BEI YA KODI: TSH 1,200,000/=
📆 MUDA: MIEZI 4 – 6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















