Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YENYE VYUMBA 3, TSHS.160 MILIONI, BUNJU A/KWA BAHARIA.
Kiwanja SQM.600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
NI NYUMBA YA KUHAMIA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuikagua ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________zw
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.