Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA 🏡🏘 INAUZWA
MAHALI: BUNJU A MITA CHACHE KUTOKA BARABARANI
INA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILETS
BEI: TSH MILIONI 150
ENEO LINA UKUBWA WA SQM 400
PANA HATI MILIKI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ What’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com