Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa (Unfinished House)
Bei milioni 65 maongezi yapo
📍 Ipo bunju A Mji mpya
- Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vitatu vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinar
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇ Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 600
◇document Hati miliki ya wizara
◇ Maji Dawasco umeme vyote vipo
Call 0746 433 854