Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA GOBA KINZUDI - DAR ES SALAM.
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa ( Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Barabara Kuu Ya Lami (Goba Road)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote
Bei : 50 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
0746 433 854