Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KWA NIABA YA BANK GOBA TEGETA "A" - (MILLION 15)
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Ina Vyumba Vitatu, Jiko Na Choo
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Mahili : Tegeta "A" Kanisa Catholic/ Kwa Mama Benja Centre
Ukubwa Wa Eneo: SQM 250
Umbali: Meter 900 Tu Kutoka Barabara kuu
Bei : 15 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=