Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA VYUMBA VITATU (3) TSHS. 110 MILIONI, GOBA KINZUDI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.800.
KIMEPIMWA.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 ( Masta)
Pia kuna Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na
Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
+255714591548
______________mpg
Mgaa umejengeka vizuri na Parking ipo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.