Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA GOBA KINZUDI - (MILLION 110).
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Unafikika Vizuri
Bei : 110 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Contact
0652472014
0754344786