Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ilala, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa ipo kitonga jiji la Dar esaalam wiraya ya ilala Nyumba ya vyumba 3vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen nyumba umeme upo Maji yapo nyumba ina kisima cha Maji nyumba MPYA bei ml 45



















