Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Iyumbu, Dodoma


NYUMBA MPYA NA NZURI INAUZWA IYUMBU SHULE YA MFANO JIJINI DODOMA
Mahali; Iyumbu
Eneo ukubwa; 715 sq.m
Sifa; Ina vyumba vitatu
Master bedroom zote
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Maji/Umeme upo
Ipo ndani ya fensi
Ina WATER RESERVE TANK
Ipo mita 300 kutoka lami.
Bei; 145,000,000/= ( milioni mia moja aroabaini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"