Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA NA NZURI INAUZWA,
HIPO KIBAMBA HOSPITAL DAR ES SALAAM
0759128747 0624436503
0712058357 WHATSAPP
BEI MILIONI 120,000,000/= MILIONI
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA,KIMOJA MASTER,JIKO,SEBULE, DINNING, NA PUBLIC TOILET.
PIA NJE KUNA KUNA SERVANT CORTER ZA CHUMBA NA SEBULE NA CHOO 2.
PAMOJA NA JIKO.
UKUBWA WA ENEO SQUARE METRE 600
DOCUMENT:HATI YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA.
INATAKA 120M,
MAONGEZI YAPO MAZURI TU.
PIA WAEZA LIPA KWA AWAMU.
KARIBUNI