Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


AMKA NA HII NYUMBA  INAUZWA KIBAMBA HOSPITAL  KM 2
BODA 1000 NJIA NZURI
NYUMBA KUBWA INAUZWA 
INA HATI MILIKI WIZARA YA ARIDHI..
SQM 900 TUU
INA SIFA KAMA HIZI HAPA
-SEBULE KUBWA
-DINNING 
-VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER
-INA NYUMBA NJE PIA KUBWA
-PEVING BLOCK 
GARDEN NZURI
BEI MILION 110  MAONGEZI YAPO SITE
#0785889413




















