Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI
<> location kibugumo
<> nyumba Ina jumla ya vyumba vitatu kimoja Master sebule dining na jiko pia Ina frem nje kwa ajili ya biashara
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba iko mita 500 kutoka lami
<> Eneo Lina ukubwa wa SQM 400
✅HATI YA WIZALA
<> price: million 85
MAZUNGUMZO YAPO
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837



















