Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> nyumba Ina vyumba vitatu vyote master sebule dining na jiko pia Ina servant quarter
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina electric ⚡️
✅nyumba Ina parking
✅nyumba Ina mazingira mazuri
✅nyumba iko karibu na barabara
✅nyumba ni nzuri na ya kisasa
<> Eneo lina ukubwa wa SQM 700
✅ HATI YA WIZALA
<> price: million 230
USIOGOPE KUHUSU BEI NJOO SITE MAZUNGUMZO YAPO
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837



















