Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA HII IPO KIGAMBONI TUANGOMA SHELI
INAUZWA TSH MILIONI 85
IPO UMBALI WA MITA 500 TOKA TUANGOMA SHELI
INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
INA FREMU KUBWA SABA ZA BIASHARA
NYUMBA INA UKUBWA WA SQUARE METER 600
UMILIKI: MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
PIGA 🤙 We need serious buyer Agent fees 30k
#KAMA UNATAKA NYUMBA NZURI HII NI NYUMBA NZURI SANA
☎️☎️0693 468394