Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA IYO YA GHOROFA INAUZWA BEI MILIONI 300 IPO MAENEO YA KIMARA TEMBONI
UKUBWA SQMT 600
VYUMBAVITANO VYA KULALA SEBULE JIKO DINNING ROOM VYUMBA 3 NI MASTER PAZURI
GARAMA YA KUPLEEKWA NI SH 50,000/-
UMILIKI NI HATI MILIKI
0746 433 854