Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
IPO KIMARA MWISHO,
UMBALI WA 2.5 KM KUTOKA MOROGORO ROAD
BEI TSH MILION 98 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO SQM 500
UMILIKI: KIWANJA KIMEPIMWA HATI BADO
VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA SELF
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
FENCED AND GATE
UMEME UPO
MAJI YAPO YA DAWASA
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0746 433 854