Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kisima, Kilimanjaro


NYUMBA YENYE HATI,VYUMBA 3,TSHS.88 MILIONI,GONGOLAMBOTO.
Nyumba nzuri ya kisasa yenye nafasi.
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
Vilevile nyumba hii ina Kisima chenye Maji ya Baridi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mskv



















