Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kitwiru, Iringa CBD, Iringa







βπ FURSA YA DHAHABU: NYUMBA NA FREM ZA BIASHARA INAUZWA! π βUsiishie tu kumiliki nyumba ya kuishi, miliki mradi unaokuingizia kipato! Inauzwa nyumba bora yenye muonekano wa kisasa na fursa ya biashara papo hapo. βSifa za Nyumba: ββ Eneo: Imewekwa fensi imara ya Block (Security 100%). ββ Biashara: Ina Fremu za maduka tayari kwa kuanza biashara au kupangisha. ββ Ujenzi: Ndani ya fensi kuna msingi imara wa nyumba kubwa ya kuishi. ββ Nishati: Umeme wa TANESCO upo tayari. ββ Hali: Mazingira ni tulivu na yanafikika kwa urahisi. βπ° BEI: Tsh Milioni 85 Tu! π€ Maongezi yapo kwa mteja makini. βπ Piga simu sasa: 0679242108 π¬ Au tuma ujumbe WhatsApp: 0679242108









