Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam







Nyumba nzuri sana inauzwa bei ya kutupa:
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 400
Kumepimwa Hati bado
Bei-ml 50 maongezi
Location- madale mbopo upande usio na DDC
Umbali-km 4.5 kutoka main road madale mwisho
Na km 1.5 kutoka barabara kubwa ya mbopo
Karibuni
Gharama za kuona 20000/=
Dalali Tegeta 0718809744
0784234971