Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam


#Repost Dalalimbezibeach_semba
• • • • • •
Nyumba mpya kali sana inauzwa
Room 3 moja self
Dirning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo-sqm 598
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 170 maongezi
Location madale flamingo
Umbali-km 1 kutoka main road madale flamingo
Visit site 50k
0718 759287
0685 00223
KARIBUNI WATEJA
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA