Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Magomeni, Dar Es Salaam


GODOWN VYUMBA 3, TSHS.110 MILIPNI, MAGOMENI MIKUMI.
Hii ni nyumba ya kuishi ambayo imerekebishwa mfumo wake kuwa kama Ghala/Store.
Uwezekano wa kubadilisha kuwa ya Kuishi au kwa matumizi Ofisi pia.
Vinginevyo unaweza kuivunja na kujenga jengo jipya la kuishi au Biashara, panafaa pia.
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
UMILIKI NI HATI YA WIZARA.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.